NAMNA YA KUUNGANISHA INTERNET TOKEA KWENYE SIMU MPAKA KWENYE COMPUTER KWA KUTUMIA USB TETHERING. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 14 August 2017

NAMNA YA KUUNGANISHA INTERNET TOKEA KWENYE SIMU MPAKA KWENYE COMPUTER KWA KUTUMIA USB TETHERING.
Niaje watu wangu wa nguvu, leo kwenye uwanja wa teknolojia tunaendelea na upande wa pili wa namna gani yankuunganisha mtandao wa internet kutokea kwenye simu yako kwenda kwenda kwenye computer...

na hapo awali tukaeleza kuwa kuna njia mbili ambazo ni maarufu na moja ni Wi-Fi Hotspot ambayo tumeshaielezea...


Sasa leo hapa ninaelezea ni namna gani utaweza kuunganisha internet ya kwenye simu kwenda kwenye computer yako.

Moja katika njia hii ni lazima uwe na Simu, USB wire pamoja na portal ya USB kwenye Computer yako.

baada ya kuwa na hivyo vitu hapo juu, utawasha PC yako na baada ya kuwasha utachomeka USB kwenye simu na computer yako na naada ya hapo itakuja kwenye screen kitu kama hiki hapa chini...utachagua USb Tethering baada ya hapo utakuwa umeiunganisha simu yako na computer yako.
kwa baadhi ya simu haitaonekana hapa juu baada ya kuchomeka usb ila utaipata ndanj ya setting>More>Mobile setting>Usb Tethering na hapo utaiweka on..

hii njia ni kwa watumiaji wa Android.

Kumbuka pia computer inaweza ikawa haina drive ya tethering kwa hiyo ikitokea imekataa kuunganisha nends kwenye website ya watengenezaji wa hiyo Pc yako na uidownload hiyo drive then itakubali...

Karibu shafiinad. share na wengien hii link waweze kujifunza zaidi.

Kwa swali lolote lile tuulize kupitia page yeetu ya shafii said rajabu au shafiinad blog...Zote hizi ni page zetu na tutakujibu punde.

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here