MABADILIKO HULETWA NA MBADILISHAJI. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 24 July 2017

MABADILIKO HULETWA NA MBADILISHAJI.


Habari za uzima ndugu zangu, leo tunakutana tena hapa baada ya kimya kirefu cha muda. Majukumu yanatufanya tusikutane hapa shafiinad.com mara kwa mara ama kila siku ila kwa vile mtandao upo na makala nyingi za kutosha basi naamini hakukuwa na unyonge juu yangu kwa kutokuweka kitu kipya.

Nipo mbioni kuja na makala za namna ya kupata pesa direct. yaani namna au njia za kupata pesa na sio kukupa motisha juu ya utafutaji wa pesa.

Kwa hiyo kaeni mkao wa kula.

Leo napenda niwape japo kwa kifupi tu kuhusu mabadiliko.
kuna mabadilikoya aina nyingi sana na katika nyanja nyingi sana ila mimi napenda nikueleezeni juu ya ujasiriamali.

Mabadiliko katika uchumu au ujasiriamali ni kutoka katika kiwango cha kipato cha chini na kuja katika kipato cha juu. au kutoka biashara uliokuwa unaifanya mwanzo na kuja katika biashara mpya ambayo inalipa zaidi ya ile ya mwanzo.

na haya yote yanafanywa na MBADILISHAJI. bila mbadilishaji au bila mtu mabadiliko hayawezi tokea kamwe.

Kwa hiyo kabla ya kutaka kufanya mabadiliko, jitathimin mwenyewe kama je wewe ni mbadilishaji..?
Je uko tayar kufanya hayo mabadiliko...?

Ukiona wewe tayari umefikia level za kuwa mbadilishaji basi utaweza kufany hayo mabadiliko na kuweza kufanikiwa katika wazo lako hilo la mabadiliko.

Mi sina mengi leo zaidi ya kuwatakiwa siku njema na kazi njema.
soma na wape na wenzako wasome ili tuweze kujipa matumaini wote tunyanyuke na tukatafute kujiajiri badala ya kusubiri kuajiriwa.

Shafiinad.com, The coming NEW COMPANY

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here