SHERIA ZA KUSHINDWA JUU YA FIKRA ZAKO - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 2 June 2017

SHERIA ZA KUSHINDWA JUU YA FIKRA ZAKOFIKRA zako-Sio Ufanisi wako-Ndio Zinakurudisha Nyuma.


Fikiria Nyuma wakati ule umeshindwa.
(Yes, hii inakuhitaji ukubali makosa yako.)
Labda ulianzisha biashara lakini haikuweza kuendelea. 
Labda umejaribu ujuzi mpya na ukakuta ni ngumu kuliko ulivyofikiria. Unakuwa unajisikiaje? Yes, kila mmoja huwa anakata tamaa anapokutana na mambo ya kukatisha tamaa kama haya. 

Lakini ni ipi ilikuwa hisia zako za hapo baadae?
Uliwahi jisemea, “Kuwa Huna akili ya biashara” — au ulikuwa inspired kwenda zaidi kwenye mafunzo ya ujasiriamali?

Uliwaza kuwa, “Mimi sio kiongozi in nature,” au uliamua kutafuta njia nyingine ambayo hujawahi itumia hapo kabla? 

Uliwahi jisemea, “Nadhani Mimi sio mzuri sana kwenye kazi hii; Ni bora nirudi kwenye kile nilichokuwa nafanya mwanzo,” au ulitafuta mtu ambaye atakuongoza wewe katika kile unachotaka kufanya? 

Umewahi jisikia kuwa huna talent au kipaji cha kufanya kila jambo zuri ambalo umelitaka au unalitaka kulifanya? Au uliona au kuona fursa zaidi za kukuza kipato na kipaji chako baada ya kukwama kwa mara kadhaa?

Kuna FIKRA mbili kubwa akilini ambazo watu wanazo katika vipaji vyao.


UWEZO wao na u SMART wao.
FIKRA Moja inatuongoza kwenye mafanikio. Na nyingine inatuongoza kwenye mbio za panya, Kutulia au kukaa kizembe wakati wengine wakiendelea kufanikiwa.
Uwajibikaji wako katika makosa yako au ugumu wa kuweza  kuvishinda vikwazo vyako vitakuelezea mawazo yako.
Kuna nguvu kubwa katika kile unachoamini wewe mwenyewe, Kama unajihisi umekwama, kama vile hufanikiwi, basi ni muda wako sasa wa kujichunguza mwenyewe Juu ya FIKRA zako. 

Komaa, Pambana, Amini tu utatoboa tu maisha kwa kumtanguliza Mungu wako.
IMANI ZAIDI NDIO NJIA YA MAFANIKIO

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here