SOMA KITABU CHA NAMNA YA KUTENGENEZA BUSINESS PLAN. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 2 June 2017

SOMA KITABU CHA NAMNA YA KUTENGENEZA BUSINESS PLAN.https://drive.google.com/open?id=0B06MRZzwp8MXUkhBRlZfXzBmUUE

Leo shafiinad tunawapa kitabu ambacho kinaelezea ni namna gani ya kuweza kutengeneza au kuandika business plan ili iwe ndio mwongozo na hatua nzuri kwa wewe kujikita zaidi katika biashara zako. Faida za kujua kuandika business plan ni nyingi pamoja na kuuza hizo plan kwa watu wanaotaka kununua hizo plani.
Kitabu hiki utajifunza vitu vingi sana na miongoni mwa sura zilizomo ndani ya kitabu hichi ni.


  1.  Umuhimu wa Kuandika Business Plan
  2.  Ni namna gani utaweza kumiliki biashara yako.
  3. Namna na kuchagua biashara Sahihi.
  4. Vyanzo vya pesa vya kutanua biashara yako.
  5. Utajifunza namna ya kupiga mahesabu ya faida na hasara zako.
  6. Mahesabu ya mapato na matumizi yako.
  7. Kuandika plani zako za masoko na zaidi,
  8. Kutengeneza na kumalizia Business Plan yako.
  9. Kuuza Business Plan yako

 https://drive.google.com/open?id=0B06MRZzwp8MXUkhBRlZfXzBmUUE
Kwa kupitia vichwa vya habari vya hapo juu, kitabu hiki kina mambo mengi zaidi ya hayo na pia kwa wale wajasiriamali watakubaliana na mimi kuwa kuna haja ya sasa vijana tujitahidi kufanya vitu vingi tofauti kwa kujifunza ili tuweze fikia malengo yetu ya maisha.
Usisahau kumtanguliza Mungu katika kila jambo lako la maisha ya hapa duniani.
Waalike wengine zaidi wajifunze ili waweze nao kujua ni namna gani wanaweza tumia fursa hii.

BONYEZA HAPA AU picha za hapo juu kuweza kusoma kitabu hicho.

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here