Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo cha Vitunguu - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, 20 May 2017

Zawadi ya Kitabu kizuri cha Kilimo cha Vitunguu

https://drive.google.com/file/d/0B06MRZzwp8MXeEFZQVVhNjh5YXM/view?usp=sharing


Habari za leo mjasiriamali wa kilimo.

Leo tumekuandalia zawadi nzuri sana kilicho andikwa na wajasiriamali wa kilimo biashara. Ila kabla ya kukupatia zawadi hizo, ningependa kukushirikisha moja ya vitu vya msingi sana katika mafanikio yako. Ni hivi:  

Kiwango cha mafanikio yako katika eneo lotote (iwe biashara, kilimo n.k) kinategemea sana na kiwango cha Maarifa ulichonacho kwenye hilo eneo. Hivyo basi ili ufanikiwe sana kwenye kilimo unahitaji pia kujifunza sana, unahitaji maarifa sahihi. Mtandao wa shafiinad kwa  kutambua hilo ndio maana tupo kwa ajili ya kukusaidia kupata maarifa hayo. Ndio maana tumeona ni vizuri tukakupatia zawadi ya maarifa ambayo ni Jarida zuri la KilimoBora cha Vitunguu maji.
 
Jarida au Kijitabu hichi ni cha kiswahili na kimeandikwa vizuri sana na wanakilimo wa kilimo kwanza. Utajifunza utaalamu wa shambani, kuanzia kupanda hadi kuvuna. Pia utajifunza mienendo ya soko la vitunguu na bei zake.

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here