VITU VYA KUFAHAMU NA KUZINGATIA KABLA YA KUTENGENEZA WEBSITE - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 8 May 2017

VITU VYA KUFAHAMU NA KUZINGATIA KABLA YA KUTENGENEZA WEBSITE


Ni vizuri kuweka akilini kuwa kutengeneza vizuri website yako itawavutia watu wengi na kufanya kuongeza wageni wanaotembelea website yako. Sasa hapa nakupa njia ya kukuongezea wageni wakati wa kutengeneza website yako.

  1. Content (makala zako)– Kitu cha kwanza ni makala zako unazoziandika, kama nilivyoeleza kuwa makala ndio mfalme wa website yako au blog yako. Unatakiwa utengeneze website nzuri na ya kuvutiaa lakini makala zako kama hazitakuwa nzuri na imara hutoweza pata wageni au watembeleaji wengi kama ulivyotegemea. Na pia hata katika utafutaji google wanatoa vipaombele kwa makala na webistes ambazo ziko vizuri katika muonekano. 
  2. “Meta” au YAHUSU ya website yako Fikiria kuhusu maelezo ya website yako, meta tag yako katika website yako yanahitajika saana katika kutafuta website yako hasa pale inapokuwa specific, mfano website yangu inahusuu ujasiriamali,fursa na technology basi itakuwa rahisi google wakati wa utafutaji waweke blog yangu mapema mwanzoni kwa sababu nimeshawaeleza kuwa blog yangu au website yangu inahusiana na hilo jambo. 
  3. Fikiria kuhusu design yako. Ktika miaka ya siku hizi, miaka ya simu za mkononi. Kwa rafu tu imekadiriwa zaidi ya asilimia 70% za websites zinapitiwa na kuangaliwa kwa kutumia simu, kwa hiyo wakati wa kuweka vizuri website yako yakupasa ujue kuwa unatakiwa uitengeneze iwe rafiki kwa device za simu. Nje ya hapo utakosa wateja wengi sana. 
  4. Jua muda wa page loading ya website yakoPage loading time ni kitu muhimu sana kuweka akilini kabla ya kudesign website yako maana kama itakuwa nzito sana itapelekea google kuiweka mbali katika utafutaji na hata mteja au mtembeleaji wa website yako haitamvutia na hii itapelekea yeye aasirudi tena kusoma makala zako kwa maana si rahisi kufunguka. 
  5. Mpangilio wa makala zako Hkikisha mpangilio wa makala zako upo sawa, mpangilio utasaidia mtembeleaji kuona aina moja ya makala alizotembelea zikiwa sehemu  moja na hii itasaidia hata google search engine kukuweka karibu zaidi wakati mtu anapotafuta jambo Fulani katika mtandao.
​​

Website Inatakiwa itengenezwe au kudesign katika hali ya juu, na vitu vya kuvutia ili uweze kujiweka sehemu nzuri ya utafutaji wa makala zako na piaa kuwavutia wateja wako waje wakiwa wanavutiwa na muonekano wa blog au website yako.
Kama unataka kusaidiwa katika hili nione au wasiliana na mimi kupitia shafiikuku@gmail.com au shafiinad@gmail.com au pia kupitia simu yangu 0653759223.

Wasambazie link wanaopenda kujifunza kutengeneza blog au website.
Tembelea facebook page yetu ya shafii blog

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here