PATA KITABU CHA KANUNI NA SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 8 May 2017

PATA KITABU CHA KANUNI NA SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO

https://drive.google.com/open?id=0B06MRZzwp8MXZUtWazM1clBzZkk
Kitabu hiki kimeandikwa na Peter .A. Tarimo na ni cha kiswahili na kinamaelezo machache lakini yana umuhimu wake, kimeongelea mambo mengi ila haya machache nakupa kama vichwa vya habari vya hiki kitabu.
kitabu kimezungumzia mambo kama...

Suluhisho la
Je ni kweli miluzi mingi humpoteza mbwa ?
Kwanini siyo rahisi kusoma kila kitabu?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Pia ameelezea zaidi Katika KANUNI(NADHARIA) YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO.
pia baada ya kuelezea kanuni ya kujifunza akaelezea NI NINI CHA KUFANYA?

pia ametoa muongozo wa vitabu na kwanini watu tunashindwa kusoma vitabu.


Hapa zingatia sana kitu hiki.
Njia mbadala. ndio swala kuu ambalo mimi napenda zaidi ulisome.

ni bure hiki kitabu na hakiuzwi

bonyeza picha hizo hapo juu au bonyeza hapa kukisoma.

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here