Pata kitabu cha Don't Sweat the Small Stuff ... and it's all small stuff kilichoandikwa na Richard Carlson, PhD. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 5 May 2017

Pata kitabu cha Don't Sweat the Small Stuff ... and it's all small stuff kilichoandikwa na Richard Carlson, PhD.
 https://drive.google.com/file/d/0B06MRZzwp8MXX0JkNk84cXlmVjQ/view?usp=sharing
Kitabu hiki kina vitu vingi sana vizuri na vya kujifunza ambavyo vinaweza kukubadilisha kutokea hapo ulipo kwenda sehemu ya juu zaidi ya hapo ulipo katika mafanikio,
Utajifunza vitu vingi sana ila kwa uchache naviweka hapa zaidi download ukisome, ni bure kabisa hakuna kulipia.


 1. Jiwekee amani unapokosea.
 2. Tambua maongezeko ya faida na hasara za ufikilio wako.
 3. Endeleza Tabia yako.
 4. Jikumbushe mwenyewe pale ukifa, mfukoni mwako hakutabaki kweupe.
 5. Usiwaingilie wengine au Usimalizie sentesi zao.
 6. Wafanye wengine wajione wako Sahihi muda mwingi
 7. Kuwa mtu wa Subira sana.
 8. Tengeneza muda wa subira yako.
 9. Kuwa wa kwanza kuonesha unapenda au kujitokeza.
 10. Kubali kwa sababu kuwa maisha hayako Fair .
 11. Jikubalishe mwenyewe kuwa Bored


Hizi hapa juu nimekupa misemo tu ambayo ndani yake ina tafsiri nyingi sana na siku zote ukiwa unasoma vitabu vya maisha unatakiwa uwe mtu wa kujiuliza sana, kwanini kaandika hivi na asiandike vile.
Sasa nakualika upate kukisoma zaidi hiki kitabu na vingine vingi vinakuja soon.

 

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here