TIBA YA NYUMBANI YA UGONJWA WA PUMU( ASTHMA) - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 14 March 2017

TIBA YA NYUMBANI YA UGONJWA WA PUMU( ASTHMA)Pumu ni neno la kale la Kigiriki na lina maana ya 'panting (kuhema kama mbwa) au pumzi inayotolewa kwa ufupi(short drawn breath)'. Ni tatizo la aleji linalotokana na reaction ya mwili kwa aleji moja au zaidi ya moja, na ni ugonjwa unaosumbua sana njia ya upumuaji. Mgonjwa wa pumu mara kwa mara hupatwa na matatizo ya upumuaji, lakini kwa baadae anaweza kurudi kawaida kabisa. Pumu ni ugonjwa maarufu sana katika njia ya upumuaji, ina athiri koromeo na mishipa ya kwenye mapafu kwa kuvimba na pia kuziba kwa mucus(ute ute kama kamasi). Hii husababisha njia ya hewa kuwa nyembamba, kuzuia kiasi cha hewa kwenda kwenye mapafu, na inafanya kuwa vigumu sana kupumua. Asthma(pumu) inaweza kutokea kwa mtu yeyote lakini ni ya kawaida sana kwa watoto na vijana. dalili ya kawaida ya mashambulizi ya pumu ni kukohoa, Mapigo ya moyo kuwa chini, kubana kwa kifua, ugumu wa kupumua.
Tiba ya asili ya kinyumbani kwa ajili ya pumu inaweza kusaidia kupumua.


Kuna aina 2 za pumu,

Pumu ya aleji (Allergic asthma) na pumu isiyo ya aleji (non allergic asthma).
Baadhi ya aleji ambazo zinaweza zalisha pumu ni kemikali, madawa ya kulevya ,uvutaji wa sigara, uchafu, viungo vya vyakula, uchafuzi wa mazingira n.k
Pumu isiyo ya Aleji husababishwa na zoezi, hali ya hewa ya ubaridi, hofu, kkucheka sana, msongo wa mawazo n.k
Tiba za asili za kimyumbani kwa ajili ya pumu inaweza kusaidia hali kama hizi kuwa nzuri.
kiwango ambacho mashambulizi ya pumu hutokea kimeongezeka miaka michache iliyopita na kinahatarisha hasa kwa watoto. Wanasayansi wanaamini kwamba, kuna uhusiano mkubwa kati ya uchafuzi katika hewa ambayo tunatumia kuhemea sisi na pumu, ushahidi unaonyesha kwamba asilimia kubwa ya watu wanaoishi katika miji mikubwa, na mashambulizi ya pumu ni juu zaidi, kuliko wale wa watu ambao wanaishi katika maeneo ya vijijini. Hata hivyo, hii inaweza kuwa si sababu pekee, inaaminika kuwa maumbile, viungo vya vyakula, sumu n.k inaweza pia kuchangia mashambulizi ya pumu. Dawa za kisasa zinaweza kutoa kidogo sana pumu kwa watoto, madawa mengi yanaweza tu kuzalisha athari(unafuu) wa muda mfupi. Herbs(dawa asili) katika upande mwingine inaweza kusaidia sana, si tu kupunguza mashambulizi lakini pia kuimarisha mapafu na mfumo wa kinga. Itabidi kujifunza kutibu ugonjwa huu na michanganyiko mingi ya mimea kama vile mullein, elecampane na zaidi.

Tiba Asili


 1. Vitamin B6 na Vitamin B12 ni virutubisho muhimu sana kutibu pumu na kupunguza uvimbe katika mapafu.
 2. Vitamin C zinahitajika ili kupambana na maradhi, kuongeza kiasi cha oksijeni na kupunguza uvimbe.
 3. Matumizi ya mmea ginkgo biloba, mimea hili ina ginkgolide B ambayo ni muhimu sana. Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa ginkgo biloba inapunguza mzunguko wa mashambulizi ya pumu.
 4. mafuta ya Mullein hutumika kupambana msongamano wa kupumua, ni muhimu sana kwa kufanya hivyo kama chai kwa ajili ya matokeo ya kasi zaidi.
 5. Pau d'Arco ni dawa ya asili na hupunguza uvimbe.
 6. Nchini China michanganyiko ya nguvu ya mimea inayoitwa Shuan Huang Lian inatumiwa katika hospitali ya kutibu ugonjwa wa kupumua, ni muhimu sana kutumia mimea hii katika pumu na ugonjwa wa mapafu papo hapo.
 7. Kama zoezi huchochea mashambulizi ya pumu, punguza kiasi cha chumvi katika mlo wako na chukua 2,000 mg. ya vitamini C saa moja kabla ya mazoezi yako.
 8. kula samaki mara 3 kwa wiki na chukua vidonge vya mafuta ya samaki (samaki aina y salmon).
 9. Kunywa kahawa na Vinywaji pamoja na caffeine (colas), caffeine hunenepesha mirija ya hewa ya kwenye mapafu.
 10. Tengeneza chai kwa kutumia:
          Vijiko viwili  vya unga wa miziz wa india (indian root).
          Vijiko 2 vya chembechembe za mizizi ya echinacea.
          Vijiko 2 vya mzizi wa elecampane.
          Vikombe 2 vya maji.
   Kisha Changanya viungo vyote na waache kuweka kwa saa 2.
   
 11. kuboresha Upumuaji kunywa chai ya:
         1 lita moja ya maji ya moto.
         kijiko kimoja cha maua ya chamomile.
         kijiko kimoja cha mzizi wa echinacea.
         kijiko kimoja cha majani ya mullein.
         kijiko kimoja cha majani ya passionflower.
 12. Caffeine inajulikana kupanua njia ya hewa.
 13. Tumia Unga wa manjano (1 kijiko.) Katika maziwa kwa mara 3 kwa siku. Hii ni dawa ya zamani kutoka huko india ambayo hutumika sana na waindia.
 14. Muweke mgonjwa wa pumu ainame katika bakuli lenye mvuke wa asali na aheme kwa kuvuta ule mvuke mpaka hali yake itakapokaa sawa.
 15. Jaribu kuchanganya asali, maji ya limao na radish, then chemsha kwa muda wa dakika 20 katika sufuria. Halafu chukua kijiko kimoja kila siku tumia.
 16. Changanya gramu moja ya unga wa tangawizi na gramu moja ya pilipili nyeusi katika kijiko cha asali.
Mimea yote niliyoitaja hapo juu inapatikana Tanzania na ipo katika mifumo tofauti tofauti inaweza kuja ikiwa tayari imeandaliwa au ikaja wewe utengeneze.
Napenda kutoa shukurani kwako wewe msomaji na washirikishe na wengine wapate kujitibu wenyewe nyumbani.
MULLEIN
 
GINKGO BILOBA

ELIMU HII NAITOA BURE KABISA.

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here