JINSI YA KU CONVERT VIDEO KWENDA AUDIO KWA KUTUMIA PROGRAM YA VLC By Shafii - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 17 January 2017

JINSI YA KU CONVERT VIDEO KWENDA AUDIO KWA KUTUMIA PROGRAM YA VLC By Shafii

Leo nataka niwape njia ya kubadili video kwenda katika mfumo wa audio yaani mp3 ambavyo mara nyingi si tunakuwa tunajua kwa kutafuta program zilizotengenezwa kwa kazi hiyo.. hapa nimekuwekea video ikionesha kwa vitendo ni jinsi gani ya kubadili video kutoka aina yoyote ya video kwenda katika aina yoyote ya video au kwenda katika mfumo wa sauti yaani audio ambapo kuna aina nyingi sana ikiwemo mp3Ukishajua unaweza ukajiunga na channel yangu hiyo ya shafii blog kwenye youtube. na pia uka like page yetu ya facebook jina shafii blog na share na wenzako waweze kujua ujuzi huu.


No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here