Unataka kuzuia watu wasinakili/ copy makala zako, soma hapa - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 26 December 2016

Unataka kuzuia watu wasinakili/ copy makala zako, soma hapa

Kuna wakati mtu unakuwa umeandika makala zako/post then kwa kuteseka kabisa either umetoa gharama za kufanya utafiti au umepoteza muda mwingi kuandaa makala hiyo halafu mtu anakuja ana nakili/copy kazi yako na kuweka katika website au mtandao wowote kwa urahisi tu na kufanya uonekane wa kwake...

sasa leo nataka niwaelekeze wale bloggers, na wale waamiliki wa website juu ya kuweza kuficha makala zao mtu asiweze kuzi nakili na kuzifanya za kwake...

tukianza na njia hii ya kawaida ya...
 FOR BLOGGER ONLY

1/ Log in to blogger.com

2/ Nenda kwenye neno lay out katika blogger dashboard yako
Then boyeza sehemu yoyote ile yenye option ya add a gadget then itakuja pop up browser nenda HTML/JavaScript.


3/itafunguka na kukupa mwanya/nafasi ya kuandika.. sasa nakili code ninazokupa hapa uziweke kwenye hiyo Gadget iliyojitokeza...


<script src='demo-to-prevent-copy-paste-on-blogger_files/googleapis.js'></script>
<script type='text/javascript'>
if (typeof document.onselectstart!="undefined" ) {
  document.onselectstart=new Function ("return false" );
} else {
  document.onmousedown=new Function ("return false" ); document.onmouseup=new Function ("return true" );
}
</script>

 
baada ya hapo save hiyo gadget yako na hapo utakuwa umeweza 
zuia watu wasi nakili kazi zako..

pia code hizo unaweza ukaweka kabla na baada ya <head> & </head>

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here