Maneno ya Motivation kwetu. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 14 December 2016

Maneno ya Motivation kwetu.


Nilimwangalia Dereva wa bodaboda akijaribu kuwasha pikipiki yake lakin inakataa kwa starter button anaamua kupiga kiki lakin alipiga mpaka akachoka pikipiki ikawa haiwaki lakin hakukata tamaa maana alikuwa anaamini itawaka tu ili aende safar yake, kwa iman yake hiyo aliendelea kupiga kiki mpaka baadae pikipiki ikawaka na mara nyingine ilikuwa ikiwaka na kuzima lakin hakufa moyo alikaza mpaka ikawaka jumla na akaweza kwenda safari yake.....


LA KUJIFUNZA

Usikate tamaa mara ngapi umejaribu ukashindwa, kuwa na imani zaid na kazana katika kupambania kile unachoamini unatakiwa kukipata...
dereva wa boda boda alikuwa akiamin itawaka tu ni kuvuta subira na kukazana kupiga kiki na mara nyingine inawaka inazima na wewe pia unaweza ukaanza kuona mafanikio yanakuja ghafla yanazima hii isiwe sababu ya kuacha ila angalia wap ulikuwa umekosea na rekebisha then anza tena...
Maisha si kukata tamaa, maisha ni kukomaa na kuweka msimamo wa imani yako
ndio siri ya mafanikio kwa kila mtu hapa duniani...
OMBA MUNGU,SWALI SANA,ONGEZA IMANI Utafanikiwa tu...
mimi nakuaminisha utaweza tu mana hakuna namna labda wewe uache useme umechoka au huna nia ya kufanikiwa(Sio kuwa tajiri,no ni kuwa na uhuru katika pesa) ndicho ninachokushauri hapa....

UKIJUA KILICHOMO NDANI YAKO BASI WE NI TAJIRI

Na pia kila siku naamini

TO DARE IS TO DO


Shafiinad.com tupo hapa kwa ajili yako...
tembelea kila siku upate faida za kujitegemea kwa njia rahisi

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here