LINDA SMART PHONE YAKO KWA KUWAJUA WEZI NA PIA JUA NAMBA ZA MTU ALIYEKUIBIA SIMU YAKO. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 30 December 2016

LINDA SMART PHONE YAKO KWA KUWAJUA WEZI NA PIA JUA NAMBA ZA MTU ALIYEKUIBIA SIMU YAKO.

Kuna wakati mtu anapoteza simu kwa kujisahau ulipo iweka au kuna wakati unakuwa umeibiwa kabisa na pia kuna wakati mtu unataka kujua mawasiliano yake anavyo chart na kadhalika...
huwa ni vigumu sana kuyafamya hayo hapo juu mfano kujua nani amekuibia simu na anatumia namba gani kwa sasa ili uweze kumpata... shafiinad.com nakupasha hapa juu ya nini ufanye na wakati mwengine kujua simu za mtu wako na sms pia anazotumiwa na kutuma...

Twende pamoja wale wenye simu yenye mfumo wa android...

1/Kwanza nenda play store katika simu yako...

2/Then nenda katafute application inayoitwa LOST ANDROID kama picha hapa chini inavyoonesha...


lakini kumbuka kuwa ile e-mail unayoitumia kwenye simu yako uwe unaikumbuka maana application hii itatumia na ita detect yenyewe automatic kwa hiyo usipoiukumbuka itakuwa ngumu kwako maana utaitumia wakati wa kuingia kwenye web kuitafuta..

3/Then baada ya kuinstall utaenda kwenye website yao ya androidlost.com hapo utapata kufikia kama hivi


4/Hapo pembeni kulia kuna sehemu ya kulog in/Sign in bofya hapo utalog in kwa e-mail yako na password yako then itakuleta kama hapa chini tena,

Hapo kuna jina la simu zako ulizoziungia hiyo e-mail kama ni moja au mbili zitaonekana hapo na utachagua ni ipi unataka kuitumia

 
5/Kuna nafasi nyingi sana hapa za kufanya kuna kuifanya simu yako ipige Alarm, au impige picha mtu anayetumia kwa kamera ya mbele ama ya nyuma,kuna kusoma meseji zake au simu zake anazowasiliana nazo, pia kuna kumtumia sms bila kutumia simu ikamfikia yeye kwa namba unayoitaka wewe ionekane kule, pia kuna kufanya simu yake impigie mtu fulani bila hata yeye kujua na mengineyo mengi sana mfano kujua location ya simu ilipo na inakuletea taarifa kila ikikaribia kuisha simu kuwa wapi ilipo kwa sasa wakati ikiwa na chaji kidogo...

Kwa leo nadhani nimekuelekeza kitu muhimu na cha aina yake kwa wale watumiaji wa android lakini hata wale wa iphone pia siku hizi ina kubali..

wape wengine waweze kujilinda na simu zao katika zama hizi za teknolojia...

Karibu tena utembelee blog yangu..

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here