JINSI YA KUPATA IMEI ZA SMART PHONE YAKO ILIYOPOTEA KWA AJILI YA KUIFUNGIA AU KUMKAMATA MWIZI WAKO - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 21 December 2016

JINSI YA KUPATA IMEI ZA SMART PHONE YAKO ILIYOPOTEA KWA AJILI YA KUIFUNGIA AU KUMKAMATA MWIZI WAKO

Habari za muda huu ndugu zangu wa nguu katika blog hii tunapeana ujuzi wa ujasiriamali,uchumi kwa ujumla, mahusiano na hata technolojia...
leo ningependa kukueleza jinsi ya kuweka kupata IMEI namba ya simu yako ya smart phone iliyopotea, kama ujuavyo siku hizi taifa letu linatumia mfumo wa kisasa wa kuzima simu, kujua ilipo kwa kutumia mfumo wa IMEI identification ambao utamsaidia mtu kujua nani anatumia simu yake na kwa laini gan na kuweza fatilia mpaka kuipata,,,

Sasa leo ntaelezea mbinu mbili ambayo moja ni rahisi sana na nyingine ndio kidogo inahitaji maelekezo na ndio tuloilenga hasa ukiwa umepoteza simu,,

1/KWA KUANGALIA UKIWA NA SIMU YAKO

Hapa ni rahisi sana kama nilivyosema ni huduma ya kawaida ambayo unakuwa na simu yako unabonyeza *#06# then italeta IMEI namba ya simu yako irekodi sehemu salama kwa ajili ya matumizi yako ya baadae.

2/KWA KUTUMIA E-MAIL YAKO ULIYOJIUNGIA KATIKA SMART PHONE YAKO

hapa utatakiwa uingie hapa 

https://myaccount.google.com/u/3/dashboard?pli=1 baada ya hapo utaingia kwenye sehemu ya kuandika email yako na password 
   
 then baada ya hapo una log in na itakuleta maeneo kama haya ikisha funguka 
 
Then hapo unaona kuna mambo mengi sana mengine nimeficha kwa ajili ya usalama wangu wa kifaa changu... cha muhimu hapo ni kubonyeza neno android hapo then itakufungulia kitu kingine na hapo utakuwa unaona IMEI ya simu zako kama unazo mbili kwa e-mail hiyo au tatu au hata moja lakin the next hapo ni IMEI zako tu kama hapo chiniHapa pia nimeficha IMEI zangu kwa usalama zaid...
Cha kufanya wewe ni kunakiri hizo IMEI lakin pia itabakia humu muda wote katika e-mail yako kwa hiyo jitahidi kukumbuka password ya e-mail yako...

Nadhani hapo tumemaliza,, share kwa marafiki zako wapate kujua utundu huu kwa msaada wa kesho wakipoteza simu zao,,
kwa maelezo zaid ntumie e-mail ka info@shafiinad.net au shafiinad@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here