JINSI YA KU SAVE FILE KATIKA PDF FORMAT KWA WALE WANAOTUMIA MICROSOFT WORD OFFICE - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 22 December 2016

JINSI YA KU SAVE FILE KATIKA PDF FORMAT KWA WALE WANAOTUMIA MICROSOFT WORD OFFICE

Wakati mwingine mtu unaweza kuwa unatakiwa kuchapa makala fulani na kutakiwa kusave katika mpangilio wa PDF ambapo kwa mtu anayetumia microsoft word 2007 ni ngumu kuweza kusave hivo.. sasa leo hii katika safu hii hapa nataka tuelezane jinsi ya kuweza kusave PDF file katika program ya Microsorf word 2007 kama ifuatavyo...

Kwanza Microsoft Word huja ikiwa imekosekana application inayo support converting hiyo na hivyo inakubidi uwasiliane na Microsoft Company ili uweze kuipata hiyo app.. sasa mimi nakupa njia rahisi ya kubonyeza link then utaipata na ku install katika komputa yako

Kwanza bonyeza hapa chini


then itakupeleka katika page maalumu ya kuipakua ambapo hapo ni kuchagua lugha na kubonyeza download then baada ya hapo utatakiwa ku ihifadhi (install) katika komputa yako then baada ya hapo sasa utakuwa unaweza kuhifadhi file lako kwa kutumia PDF format.....

   
Ukisha maliza kuchapa kazi yako utaenda katika kitufe cha kushoto juu kabisa katika upande wa komputa yako na utabonyeza hapo baada ya kubonyeza utaona maneno hayo hapo katika picha na app yetu itaonekana apo nilipo weka mstari mwekundu na hapo utakuwa unaweza kusave PDF file..

Kama umefanikiwa kujua ni vizuri ukawajuza na wenzako wapate kujua... share na sambaza kwa wengine wapate kujua zaid...
Karibu na elimika kwa kuchukua hatua zaidi..

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here