DALILI KUU 7 ZINAZOONYESHA MTU AMBAYE ATACHELEWA SANA KUFANIKIWA. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 2 November 2016

DALILI KUU 7 ZINAZOONYESHA MTU AMBAYE ATACHELEWA SANA KUFANIKIWA.

zifuatazo ni njia au dalili za mtu ambaye ni vigumu kufanikiwa….
1)Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi,ana pesa
za kununua nguo lakini hana PESA za kununua kitabu kitakachomuongezea
maarifa.
2)Siku Zote ana muda wa kuchart watsapp, kuangalia Movie,kusoma magazeti na Kupiga stori za mpira ama za wasanii lakini hana MUDA wa Kusoma kuhusu taaluma yake ama mambo ya kumuongezea ujuzi.
3)Siku zote akiona waliofanikiwa anawatuhumu aidha wameiba, ni freemason ama wana bahati katika maisha.Huwachukia na hataki kujifunza Kwao.
4)Siku zote hupenda kuhalalisha kufeli kwake kwa kujitetea,kulaumu uchumi,wazazi,serikali au amerogwa.
5)Siku Zote Hujiona anajua Kuliko Mtu Yeyote Yule na hapendi Kujifunza kwa wengine. Huongea sana Kuliko Kusikiliza.
6)Kila anachoingiza anatumia,ukimwa mbia kusave ama kuwekeza anasema ngoja nipate cha ziada nitaanza kesho.
7)Anajua mambo mengi sana,anajua stori za mafanikio,anasoma vitabu lakini hafanyii kazi ama anafanyia kazi kidogo sana katika kile anachokijua. Je Unayo dalili mojawapo kati ya hizo?
Amua kubadilika…ishi au fanya ukijua
kesho ipo ….
NDOTO YAKO INAWEZEKANA,
CHUKUA HATUA

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here