KILIMO CHA MAHARAGE YA NJANO. - SHAFIINAD

Breaking

TANGAZA NASI

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 23 June 2016

KILIMO CHA MAHARAGE YA NJANO.


Kuna aina nyingi za maharage tanzania… ila kwa leo ningependa tujadili maharage ya njano hasa katika njia za ulimaji…
njanoo
Kilimo cha maharage ni rahisi na kinalipa sana kikifanyika kwa utaalamu. Gharama nafuu na competion ya soko ni almost zero. Huhitaji kusafiri, kinachofanyika ni kuwaita wateja waje shamba watuniashane misuli mbele yako bila dalali kisha ww ndo una decide whom to trade with!
njano

Ekari moja ya maharage ya njano unaweza pata gunia 20 – 30. na gunia moja kwa sasa ni shs 270,000.
Shamba la maharage kama unalima kwa kumwagilia unaweza lima mara tatu kwa mwaka . Hii ina maana ukilima ekari moja tu utakua na uhakika wa kipato cha Milioni 5.5 kila baada ya miezi minne, na kama ukilima ekari kumi basi wewe kila miezi minne utakua unaingiza milioni 55. Hata uwe mlevi vipi huwezi maliza hizo helaa na ni lazima baada ya mwaka mmoja tu mabenki yataanza kukuheshimu na status yako itabadilika for good
NI WAKATI SASA MABWANA SHAMBA WAFANYE KAZI ZAO KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA ILI KUONGEZA AJIRA
Mkulima wa Kenya ni tajiri kwa sababu anapewa utaalamu na masoko wanatafutiwa
By Shafii Said

No comments:

Post a Comment

Nitafurahi sana kama utaweka comment yako hapa chini kwa njia rahisi chagua ANONYMOUS wakati wa kuandika jina ili iwe rahisi we ku comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here